HABARI KUHUSU KOMBE LA DUNIA 2014

Imehaririwa: 29/12/2014 - 09:48

RFI Kiswahili kwa mara nyingine tena inakupa fursa kupitia ukurasa huu, kufahamu habari mbalimbali zinazojiri na zitakazojiri kuhusu fainali za kombe la dunia linalofanyika mwaka huu nchini Brazili. Kupitia hapa utafahamu timu zinazoshiriki, viwanja, wachezaji, matokeo na hata atakapopatikana mshindi, lengo ni kukuleta karibu mpenzi wa rfikiswahili kuwa sambamba na yale yatakayojiri nchini Brazili wakati wa michuano hii.