Jukwaa la Michezo

Kocha wa Manchester United David Moyes afutwa kazi

Sauti 20:42
David Moyes kocha wa zamani wa Manchester United
David Moyes kocha wa zamani wa Manchester United AFP PHOTO/IAN KINGTON

Juma hili katika Jukwaa la Michezo tunachambua kufutwa kazi  kwa Kocha wa Manchester United David Moyes, kufariki dunia kwa Tito Vilanova aliyekuwa kocha wa Barcelona na pia mashindano mapya ya ukanda wa Afrika Mashariki na Kati CECAFA.