Jukwaa la Michezo

Real Madrid kumenyana na Atletico Madrid fainali ya UEFA

Sauti 20:43

Jukwaa la Michezo Jumapili hii, tunathamini kufuzu kwa fainali ya kuwania taji la klabu bingwa barani Ulaya msimu huu ambayo itaikutanisha  Atletico Madrid na Real Madrid zote kutoka Uhispania.Pia utasikia uchambuzi wa droo ya michuano ya robo fainali ya kuwania taji la klabu bingwa barani Afrika na maswali na majibu ya wapenzi wa soka barani Afrika kwa shirikisho la soka CAF.