Jukwaa la Michezo

Ligi kuu ya soka nchini Uingereza yamalizika

Sauti 20:24
Wachezaji wa Manchester City wakisherekea bao
Wachezaji wa Manchester City wakisherekea bao REUTERS/Phil Noble

Juma hili katika Jukwaa la Michezo tunachambua kumalizika kwa ligi kuu ya soka nchini Uingereza.Je umekuwa ni msimu wa aina gani ? Timu yako imekuwaje ? Pata uchambuzi wa kina.