Jukwaa la Michezo

Kukabiliana na vurugu katika viwanja vya soka barani Afrika

Sauti 20:48
Vurugu katika uwanja wa Tata Rafael jijini Kinsasha
Vurugu katika uwanja wa Tata Rafael jijini Kinsasha Reuters

Juma hili katika Jukwaa la Michezo tunachambua ni namna gani vurugu katika viwanja vya soka barani Afrika vinaweza kupunguzwa baada ya kutokea kwa makabiliano mapema mwezi huu jijini Kinsasha nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kati ya mashabiki wa klabu ya TP Mazembe na AS Vita Club na kusabisha vifo vya mashabiki 15.