Jukwaa la Michezo

Uchambuzi wa soka: Kombe la dunia Brazil 2014

Imechapishwa:

Juma hili katika Jukwaa la Michezo tunachambua maandalizi ya michuano ya soka ya  kombe la dunia itakayofanyika nchini Brazil mwezi wa Juni na tunathmini timu za kundi la A, Brazil, Cameroon, Croatia  na  Mexico. Kundi la  B, Uhispania, Uholanzi, Chile na Australia.Pia tunazungumzia michuano ya soka ya kufuzu kucheza katika mashindano ya mataifa bingwa barani Afrika mwaka ujao nchini Morroco.