Jukwaa la Michezo

Maandalizi ya Kombe la dunia na Mataifa bingwa barani Afrika

Sauti 21:02

Juma hili katika Jukwaa la Michezo, tunaendelea kuchambua maandalizi ya michuano ya soka ya  kombe la dunia nchini Brazil mwezi huu, na pia michuano ya soka  kufuzu kucheza katika michuano ya Mataifa bingwa barani Afrika nchini Morroco mwaka ujao.