Juma la mwisho la maandalizi ya kombe la dunia
Imechapishwa:
Sauti 22:07
Hili ni Juma la mwisho la maandalizi ya michuano ya soka ya kombe la dunia nchini Brazil.Jumapili hii utasikia uchambuzi wa kundi la F- Argetina, Bosnia and Herzegovina ,Iran na Nigeria.Kundi G- Ujerumani, Ureno, Ghana na Marekani na mwisho kundi H lina Ubelgiji, Algeria, Urusi na Korea Kusini.Mchuano wa ufunguzi ni kati ya wenyeji Brazil na Croatia tarehe 12 mwezi huu.Soma ratiba hapa.