Brazil 2014: Kombe la dunia
Imechapishwa:
Sauti 21:57
Juma hili katika Jukwaa la Michezo, tunajadili kuanza kwa michuano ya soka ya kombe la dunia nchini Brazil.Wenyeji Brazil, wameanza vema michuano hii sawa na Uholanzi ambao waliwashinda mabingwa watetezi Uhispania kwa mabao 5 kwa 1.Cameroon walifungwa na Mexico bao 1 kwa 0.