Ujerumani yatwaa kombe la dunia

Sauti 21:38
Wachezaji wa Ujerumani wakishangilia baada ya kukabidhiwa kombe la dunia
Wachezaji wa Ujerumani wakishangilia baada ya kukabidhiwa kombe la dunia fifa.com

Juma hili katika Jukwaa la Michezo tunachambua fainali ya kombe la dunia katika mchezo wa soka kati ya Ujerumani na Argentina.Ungana na Victor Abuso, Emmanuel Makundi na Collins Liberty Adede kwa uchambuzi wa kina.