Jukwaa la Michezo

Herve Renard ateuliwa kuwa kocha Cote D'voire

Sauti 19:35
Herve Renard
Herve Renard

Mfaransa Herve Renard ameteuliwa na Shirikisho la soka nchini Cote Dvoire kuwa kocha mpya wa timu ya taifa.Mwaka 2012, Renard akiwa na Chipolopolo ya Zambia aliishinda Tembo ya Cote Dvoire na kunyakua taji la Mataifa bingwa barani Afrika huko nchini Gabon na Equitorial Guinea.Je, Herve Renard atailetea mafanikio Cote Dvoire ? Sikiliza uchambuzi wa kina.