Jukwaa la Michezo

Michuano ya CECAFA

Imechapishwa:

Juma hili katika Jukwaa la Michezo tunajadili michuano ya soka baina ya vlabu vya Afrika Mashariki na Kati, kuwania taji la Kagame.Michuano hii inaendelea jijini Kigali nchini Rwanda chini ya shirikisho la soka Afrika Mashariki na Kati CECAFA.Aidha, utasikia uchambuzi wa michuano ya soka baina ya mataifa ya Afrika kufuzu katika fainali za michuano bingwa barani Afrika mwaka ujao nchini Morroco.

Vipindi vingine