Jukwaa la Michezo

Kenya kuomba wenyeji wa kombe la mataifa bingwa barani Afrika 2017

Imechapishwa:

Kenya imesema itaomba kuwa wenyeji wa michuano ya soka baina ya Mataifa bingwa barani Afrika mwaka 2017, baada ya Libya kujiondoa kutokana na machafuko yanayoendelea nchini humo.Shirikisho la soka nchini humo FKF linasema linafikiria kushirikiana na Tanzania, Uganda au Rwanda. Je, Kenya itafanikiwa ? Tunachambua hili pamoja na maswala mengine yaliyojiri juma lote katika Jukwaa la Michezo. 

Uwanja wa Kimataifa Kasarani
Uwanja wa Kimataifa Kasarani