Jukwaa la Michezo

Michuano ya soka kufuzu fainali za bara Afrika 2015

Sauti 21:19

Juma hili katika Jukwaa la Michezo tunaangazia, mechi za soka hatua ya makundi   baina ya Mataifa ya Afrika kufuzu katika fainali ya mataifa bingwa barani humo AFCON mwaka 2015 nchini Morroco.Pia utasikia kuhusu mchezo wa kandanda unaochezwa ufukweni huko nchini Uganda.