Jukwaa la Michezo
Uchambuzi wa matukio makubwa ya michezo viwanjani juma hili
Imechapishwa:
Cheza - 20:11
Jumapili hii katika Jukwaa la Michezo, utasikia uchambuzi wa matukio makubwa yaliyotokea viwanjani juma hili.Miongoni mwa maswala hayo ni pamoja na kesi ya mwanariadha Mlemavu wa Afrika Kusini Oscar Pistorius, michuano ya soka kufuzu kwa michuano ya mataifa bingwa barani Afrika na tangazo la rais wa Shirikisho la soka duniani FIFA Sepp Blatter kuwa atawania urais mwaka ujao.