Jukwaa la Michezo

Uchambuzi wa matukio ya soka barani Afrika na duniani juma hili

Imechapishwa:

Juma hili katika Jukwaa la Michezo, tunachambua michuano ya soka ya kuwania taji la klabu bingwa barani Afrika CAF, lakini pia hatua ya rais wa Shirikisho la soka duniani FIFA Sepp Blatter kumteua Issa Hayatou kuwa naibu wake mwenye mamlaka zaidi. 

Kikosi cha TP Mazembe
Kikosi cha TP Mazembe AFP PHOTO / ISSOUF SANOGO