Uchambuzi kuhusu riadha na soka barani Afrika

Sauti 20:28
Bingwa wa dunia wa mbio za Marathon  Dennis Kimetto
Bingwa wa dunia wa mbio za Marathon Dennis Kimetto REUTERS/Hannibal Hanschke

Jumapili hii katika Jukwaa la Michezo, tunachambua orodha ya wanariadha 20 walioteuliwa na Shirikisho la riadha duniani IAAF kuwania taji la mwanariadha bora wa mwaka 2014.Utasikia pia kuhusu hatua ya Shirikisho la soka nchini Rwanda kuanza harakati za kuwaondoa wachezaji wa soka wazaliwa wa nje wanaoichezea Amavubi Stars.