Uchambuzi kuhusu kufutwa kazi kwa kocha wa Nigeria Stephen Keshi

Sauti 20:57
Kocha Mkuu wa Nigeria Stephen Keshi
Kocha Mkuu wa Nigeria Stephen Keshi

Jukwaa la Michezo Jumapili hii, tunajadili kufutwa kazi kwa kocha wa timu ya taifa ya soka ya Nigeria Stephen Keshi na  Morroco kukanusha madai ya kujiondoa kuwa mwenyeji wa michuano ya soka barani Afrika mwaka 2015 kutokana na tishio la ugonjwa hatari wa Ebola.