Yaliojiri viwanjani mwaka 2014

Ishara ya Kombe la dunia la soka 2014
Imehaririwa: 02/06/2016 - 09:28

Baadhi ya matukio muhimu yaliyotokea viwanjani mwaka 2014, barani Afrika, Ulaya, Amerika Asia Ulaya na kwingineko duniani. Matukio hayo yalitokea katika viwanja mbalimbali hususan katika Soka, mchezo wa kikapo, Volley ball, Riadha, mbio za magari, na kadhalika...