Habari RFI-Ki

Cote d'Ivoire yaibuka mfalme wa kandanda barani Afrika

Sauti 10:00
Cote d'Ivoire yatawazwa ufalme wa soka barani Afrika katika michuano ya AFCON 2015
Cote d'Ivoire yatawazwa ufalme wa soka barani Afrika katika michuano ya AFCON 2015 REUTERS/Amr Abdallah Dalsh

Makala hii leo inaangazia maoni ya wasikilizaji kuhusu kutamatika kwa michuano ya AFCON 2015 iliyoshuhudia ushindi wa Cote d'Ivoire dhidi ya Ghana ambazo zilikabiliana katika fainali hizo hapo jana...mambo gani Afrika mashariki na kati inajifunza?