Mzozo wa ligi kuu ya soka nchini Kenya

Sauti 21:17

Jumapili hii katika Jukwaa la Michezo tunaangazia mzozo kati ya Shirikisho la soka nchini Kenya FKF na Kampuni ya Ligi Kuu ya soka nchini humo KPL kuhusu ni nani ana jukumu la kuongoza ligi msimu huu, pia tutagusia michuano ya dunia ya mchezo wa Cricket inayoendelea nchini New Zealand na Australia.