Jukwaa la Michezo

Upagaji wa Matokeo katika mchezo wa soka kati ya Kenya na Nigeria

Sauti 22:07
Wachezaji wa Harambee Stars (Wamevalia nyekundu ) wakimenyana na Nigeria (Kijani)
Wachezaji wa Harambee Stars (Wamevalia nyekundu ) wakimenyana na Nigeria (Kijani)

Juma hili katika Jukwaa la Michezo, tunaangazia ripoti ya uchunguzi iliyotolewa na  kituo cha Al -jazeera  kuwepo kwa  upangaji wa matokeo wakati timu ya taifa ya soka ya Kenya Harambee Stars ilipomenyana na Super Eagles ya Nigeria wakati wa mchuano wa kufuzu kwa kombe la dunia mwaka 2009 jijini Nairobi.