Jukwaa la Michezo

Uchambuzi wa soka na kombe la dunia mchezo wa Kriketi

Imechapishwa:

Jumapili hii katika Jukwaa la Michezo tunaangazia kuanza kwa michuano ya soka barani Afrika baina ya wachezaji wasiozidi miaka 20, mechi zimeanza nchini Senegal.Utasikia pia uchambuzi wa kombe la dunia kuhusu mchezo wa Cricktet katika michuano inayoendelea nchini New Zeland na Australia. 

Vipindi vingine