Jukwaa la Michezo

Zimbabwe yafungiwa na FIFA kwa kushindwa kumlipa kocha

Sauti 21:20
Wachezaji wa Zimbabwe
Wachezaji wa Zimbabwe

Shirikisho la soka duniani FIFA, limeifungia timu ya taifa ya soka ya Zimbabwe kushiriki katika michuano ya kufuzu katika kombe la dunia nchini Urusi mwaka 2018 kwa kushindwa kumlipa kocha wake wa zamani Mbrazil Jose Claudinei Georgini.Michuano ya soka kuwania ubingwa wa klabu bingwa barani Afrika na Shirikisho inachezwa mwishoni mwa juma hili.Tunajadili yote haya katika Jukwaa la Michezo Jumapili hii.