Jukwaa la Michezo

Matukio ya soka barani Afrika

Imechapishwa:

Juma hili katika Jukwaa la Michezo, tunachambua kuhusu Johnny McKinstry kuteuliwa kocha wa timu ya taifa ya soka ya Rwanda, vurugu zilozozuka katika mchuano wa soka kati ya Express FC na Sports Villa nchini Uganda na droo ya robo fainali michuano ya soka kuwania ubingwa wa UEFA. 

Johnny McKinstry kocha mpya wa timu ya taifa ya Rwanda
Johnny McKinstry kocha mpya wa timu ya taifa ya Rwanda
Vipindi vingine