Jukwaa la Michezo

Viwanjani juma hili

Sauti 22:06
Kevin Pietersen mchezaji wa timu ya taifa ya  Sri Lanka ya Cricket
Kevin Pietersen mchezaji wa timu ya taifa ya Sri Lanka ya Cricket Gareth Williams/Wikimedia Commons

Jumapili hii katika Jukwaa la Michezo tunajadili kuhusu matukio makubwa yaliyojiri viwanjani juma hili ikiwa ni pamoja na michuano ya soka ya kirafiki ya  Kimataifa, mashindano ya riadha ya dunia ya nyika yaliyofanyika nchini China na kombe la dunia katika mchezo wa Cricket kati ya New Zealand na Australia.