Jukwaa la Michezo

Wagombea urais wa FIFA wazuru bara la Afrika

Imechapishwa:

Jumapili hili katika Jukwaa la Michezo tunajadili ziara ya wagombea wa uongozi wa Shirikisho la soka duniani FIFA, wanaozuru bara la Afrika na pia watahudhuria kikao cha CAF juma lijalo jijini Cairo. 

Rais wa Shirikisho la soka duniani FIFA Sepp Blatter
Rais wa Shirikisho la soka duniani FIFA Sepp Blatter DR
Vipindi vingine