Jukwaa la Michezo

Gabon kuwa wenyeji wa michuano ya AFCON 2017

Sauti 22:19

Juma hili katika Jukwaa la Michezo tunaangazia Gabon kupewa wenyeji wa michuano ya soka kuwania taji la bara Afrika mwaka 2017 na droo ya michuano ya kufuzu katika michuano hiyo.