Jukwaa la Michezo

Riadha na soka barani Afrika

Sauti 21:37
Edna Kiplagat mwanariadha wa Kenya
Edna Kiplagat mwanariadha wa Kenya Reuters

Jumapili hii katika Jukwaa la Michezo tunajadili hali ya riadha nchini Kenya na Uganda lakini pia michuano ya klabu bingwa barani Afrika na ile ya Shirikisho.