Jukwaa la Michezo

Michuano ya CECAFA 2015

Sauti 21:24

Jumapili hii katika Jukwaa la Michezo tunachambua michuano ya soka ya Afrika Mashariki na Kati ya CECAFA ya mwaka huu lakini pia droo ya nusu fainali ya michuano ya soka ya klabu bingwa barani Ulaya UEFA.