AFCON 2017:Safari ya kuelekea Gabon

Sauti 22:45

Mwishoni mwa juma hili, Mataifa mbalimbali yanajitosa katika viwanja mbalimbali kutafuta nafasi ya kufuzu katika fainali ya soka baina ya mataifa bingwa barani Afrika mwaka 2017 nchini Gabon.Tunachambua matokeo ya mechi mbalimbali za Afrika Mashariki na Kati.