Safari Rally

Sauti 21:24

Umaarufu wa mashindano ya kuendesha au kukimbiza magari Afrika Mashariki maarufu kama Safari Rally umepungua sana katika miaka ya hivi karibuni.Hali ilikuwa tofauti miaka 90.Tunajadili hili ni Fred Cheche dereva wa magari ya Safari Rally kutoka nchini Tanzania.