Pata taarifa kuu
RAGA-MICHEZO

Richie Mc Caw atangaza kuustaafu

Wachezaji bora wawili duniani kila mmoja ampngeza mwenziye. Thierry Dusautoir amkabidhi tuzo Richie Mc Caw.
Wachezaji bora wawili duniani kila mmoja ampngeza mwenziye. Thierry Dusautoir amkabidhi tuzo Richie Mc Caw. RFI/Pierre René-Worms
Ujumbe kutoka: RFI
Dakika 1

Nahodha wa timu ya taifa ya New Zealand ya mchezo wa Raga Richie Mc Caw ametangaza kustaafu kuicheza timu yake.

Matangazo ya kibiashara

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 34 amestaafu baada ya kucheza mechi 148 na kuongoza ushindi katika mechi 131.

Atakakumbukwa na wapenzi wa mchezo huu nchini mwake kwa kuingoza All Black mwezi uliopota kwa mara nyingine kushinda kombe la dunia wakati michuano hiyo ilipofanyika nchini Uingereza.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.