Mchezaji bora wa soka duniani 2015
Imechapishwa:
Sauti 20:35
Jukwaa la Michezo Jumapili hii tunazungumzia tuzo ya mchezaji bora katika mchezo wa soka duniania mwaka 2015.Wanaowania taji hilo ni pamoja na Lionel Messi wa Barcelona, Neymar pia kutoka Barcelona na bingwa mwaka uliopita Christiano Ronaldo anayechezea klabu ya Real Madrid.