CHAN-SOKA

Timu mbalimbali zaendelea na maandalizi ya michuano ya CHAN

Mchezaji wa Cameroon Stéphane Mbia wakati wa AFCON 2015.
Mchezaji wa Cameroon Stéphane Mbia wakati wa AFCON 2015. AFP PHOTO / ISSOUF SANOGO

Mchuano ya kirafiki imechezwa Jumapili hii joni , kwa maandalizi ya michuano ya kuwania ubingwa wa Afrika CHAN inayotarajiwa kuanza Jumamosi ijayo nchini Rwanda.

Matangazo ya kibiashara

Jumapili hii, jioni, Ethiopia walitoka sare ya bao 1 kwa 1 na Niger jijini Addis Ababa katika mchuano mwingine wa kirafiki kujiandaa kwa michuano hii ya CHAN.

Kundi la A

Rwanda, Gabon, Morocco na Cote d'Ivore

Kundi B

Angola, DR Congo, Ethiopia, Cameroon

Kundi C

Tunisia, Nigeria, Guinea, Niger

Kundi D

Uganda, Mali, Zambia, Zimbabwe

Mechi ya ufunguzi itakuwa ni kati ya wenyeji Rwanda na Cote d'Ivoire saa tisa mchana saa za Afrika ya Kati na baadaye Gabon itamenyana na Morocco kuanzia saa 12 jioni saa za Afrika ya Kati.