Jukwaa la Michezo

Michuano ya CHAN yafunguliwa nchini Rwanda

Sauti 21:18

Michuano ya Afrika ya CHAN mchezo wa soka baina ya wachezaji wanaocheza nyumbani, yamefunguliwa rasmi jijini Kigali nchini Rwanda.Mataifa 16 yanashiriki katika michuano hii. Sikiliza uchambuzi zaidi.