Jukwaa la Michezo

Uchambuzi wa michuano ya CHAN 2016

Sauti 25:03
Nigeria ikimenyana na Niger
Nigeria ikimenyana na Niger CAF

Tunaendelea kuagazia michuano ya soka kuwania ubingwa wa Afrika kwa wachezaji wanaocheza soka barani Afrika CHAN inayoendelea nchini Rwanda.Wenyeji Rwanda, DR Congo zimekwisha fuzu katika hatua ya robo fainali.