Jukwaa la Michezo

Michuano ya klabu bingwa na Shirikisho barani Afrika

Sauti 22:11
CAF

Michuano ya klabu bingwa na Shirikikisho barani Afrika inachezwa katika viwanja mbalimbali barani Afrika.Vlabu ya Afrika Mashariki, Yanga, Azam FC kutoka Tanzania, SC Villa kutoka Uganda, APR ya Rwanda, TP Mazembe, AS Vita Club kutoka DRC  na Vital'o ya Burundi vinashiriki.