Vlabu vya Afrika Mashariki vyapata ushindi michuano ya CAF
Imechapishwa:
Sauti 24:49
AS Vita Club ya DRC, Al-Merrikh ya Sudan na Yanga FC ya Tanzania ni vlabu kutoka Afrika Mashariki na Kati vilivyopata ushindi katika michuano ya duru ya kwanza ya mzunguko wa kwanza kuwania taji la klabu bingwa barani Afrika.