Jukwaa la Michezo

Maandalizi ya timu za taifa ya mchezo wa soka kuelekea michuano ya AFCON 2017

Sauti 21:09

Leo Jumapili  katika Jukwaa la Michezo, tunajadili michuano ya maandalizi ya Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati kutafuta tiketi ya kucheza kombe la Afrika mwaka ujao AFCON nchini Gabon. Michuano hiyo itachezwa tarehe 25 na marudio tarehe 28, 29 mwezi huu:-Unafikiri kuwa taifa lako limejiandaa vya kutosha na litapata ushindi ? DRC vs AngolaSudan Kusini vs BeninBurkina Faso vs UgandaGuinea Bissau vs KenyaChad vs TanzaniaMauritius vs RwandaBurundi vs NamibiaAlgeria vs Ethiopia