Jukwaa la Michezo

AFCON 2017: Uchambuzi wa michuano ya kufuzu kwa fainali za Afrika

Sauti 21:26
Timu ya taifa ya DRC Leopard
Timu ya taifa ya DRC Leopard

Tunaendelea kukuletea uchambuzi wa  kina  mataifa ya Afrika ya  mchezo wa soka, kutafuta tiketi ya kucheza fainali ya mataifa bingwa barani Afrika mwaka 2017 nchini Gabon.