Jukwaa la Michezo

Shirikisho la soka nchini Kenya latunga kanuni za kukabiliana na vurugu

Imechapishwa:

Shirikisho la soka nchini Kenya FKF, limetangaza kanuni mpya za kukabiliana na vurugu za mara kwa mara wakati wa michuano ya ligi kuu ya soka nchini humo.Hatua hii inakuja baada ya mashabiki wa Gor Mahia na AFC Leopards hivi karibuni kuwavamia waamuzi na kuwapiga wakati wa michuano ya ligi kuu.Tunaangazia kwa kina suala hili.

Mwamuzi akishambuliwa na shabiki nchini Kenya
Mwamuzi akishambuliwa na shabiki nchini Kenya