Jukwaa la Michezo

Yanga yashinda ligi Tanzania bara

Imechapishwa:

Leo katika Makala ya Jukwaa la Michezo, tunaangazia ligi kuu za soka katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati. Klabu ya  TP Mazembe kuendelea kutafuta ubingwa wa taji la Shirikisho barani Afrika na mashindano ya kukimbiza magari ya Safari Rally nchini Uganda. 

Vipindi vingine