Jukwaa la Michezo

Yanga watawazwa tena mabingwa wa soka Tanzania bara

Imechapishwa:

Yanga FC ndio mabingwa wa ligi kuu Tanzania bara. Hili ni taji lao la 26 tangu kuanza kucheza ligi nchini humo.Tunachambua kwa ndani ushindi wa Yanga na ligi kuu ya soka Tanzania bara.

Yanga wakisherehekea ushindi wa ligi kuu msimu huu
Yanga wakisherehekea ushindi wa ligi kuu msimu huu