Jukwaa la Michezo

CAF 2016: Matokeo ya michuano ya Shirikisho barani Afrika

Imechapishwa:

Jumapili hii miongoni mwa yale tunayojadili ni pamoja na matokeo ya taji la Shirikisho barani Afrika CAF, kuelekea droo ya hatua ya makundi wiki ijayo.