Jukwaa la Michezo

CAF 2016: Droo ya michuano ya klabu bingwa na Shirikisho

Sauti 23:00
Droo ya michuano ya Shirikisho barani Afrika CAF
Droo ya michuano ya Shirikisho barani Afrika CAF

Droo ya michuano ya soka ya klabu bingwa na Shirikisho barani Afrika imetolewa wiki hii.Hata hivyo, klabu ya AS Vita Club ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeondolewa katika michuano hiyo kwa kumchezesha mchezaji aliyefunguwa na CAF.Tunajadili hiki.