AFCON 2017
Imechapishwa: Imehaririwa:
Sauti 23:27
Tunakuletea uchambuzi wa kina kuhusu michuano ya mataifa bingwa barani Afrika AFCON mwaka 2017 nchini Gabon.Miongoni mwa mataifa ambayo tayari yamefuzu hadi sasa ni pamoja na :- Gabon, Morocco, Algeria,Cameroon,Senegal,Misri,Ghana, Guinea-Bissau, Zimbabwe na Mali.