Kwanini Uingereza isijitoe kwenye Jumuiya ya Ulaya
Imechapishwa: Imehaririwa:
Sauti 09:16
Kwenye makala haya, tunajadili na wataalamu wa masuala ya uchumi ni kwanini Uingereza haipaswi kujiondo kwenye Jumuiya ya Umoja wa Ulaya, wataalamu wengi wa uchumi wanaamini nchi hiyo itabaki, lakini itakuwaje ikijiondoa? Emmanuel Makundi anazungumza na Profesa Honesty Ngowi.