HABARI KUHUSU KOMBE LA MATAIFA ULAYA 2016

Uwanja wa Parc des Princes, Paris
Imehaririwa: 21/06/2016 - 10:32

Rfikiswahili inakuletea habari na matukio yote yanayojiri kwenye michuano ya kombe la mataifa Ulaya kuanzia Juni 10 hadi Julai 11, ambapo utapata fursa ya kufahamu timu, wafungaji na hatimaye bingwa wa michuano ya mwaka huu nchini Ufaransa.