Jukwaa la Michezo

Michuano ya soka ya bara Ulaya yaanza kutimua vumbi

Sauti 22:40
Sherehe za ufunguzi wa michuano ya Euro nchini Ufaransa
Sherehe za ufunguzi wa michuano ya Euro nchini Ufaransa AFP/Miguel Medina

Michuano ya soka ya bara Ulaya mwaka 2016, imeanza kutimua vumbi nchini Ufaransa kwa wenyeji kupata ushindi wa mabao 2 kwa 1 dhidi ya Romania.Leo katika Jukwaa la Michezo, tunachambua kwa kina michuano hii.